Wanafunzi wapokea msaada wa vitabu na madawati Mathare

  • | KBC Video
    20 views

    Baada ya mafuriko kusababisha uharibifu katika shule ya msingi ya Mathare katika kaunti ya Nairobi mwezi Aprili mwaka 2024, wanafunzi wa shule hiyo jana walipokea msaada wa vitabu 980 vya gredi ya 4 na madawati 10 kutoka kwa shirika lisilo la kiserikali la kimataifa la WeLoveU. Mwalimu mkuu wa shule hiyo Bonface Matindi alitaja msaada huo kuwa afueni kwa wanafunzi ambao wengi wao wanatoka katika familia zisizojiweza.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive