Maonyesho ya Kilimo I Usalama waimarishwa jijini Mombasa

  • | KBC Video
    77 views

    Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi, Gilbert Masengeli, amesema hatua madhubuti zitachukuliwa dhidi ya magenge ya wahalifu ambao wamewatia hofu wakazi wa Mombasa. Akizungumza alipotembelea kituo cha huduma ya polisi katika siku ya kwanza ya maonesho ya kimataifa ya kilimo ya Mombasa, Masengeli alifichua kuwa kikosi cha usalama kimeweka mikakati inayolenga kuhakikisha usalama kwa wakaazi na washiriki wa maonersho hayo unadumishwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive