David Kemei aliwadunga kisu mkewe, nduguye mkewe, baba mkwe

  • | Citizen TV
    4,320 views

    Ndugu wawili kutoka kijiji cha Kunyak-Kapkwen katika eneobunge la Kipkelion Magharibi wanapokea matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Kaunti ya Kericho baada ya kushambuliwa na shemeji yao wakati wa kikao cha upatanisho wa wanandoa waliotengana