David Maraga atangaza kuwa atawania kiti cha urais mwaka wa 2027

  • | Citizen TV
    3,460 views

    Aliyekuwa Jaji Mkuu Wa Zamani David Maraga Ametangaza Kuwa Atawania Kiti Cha Urais Mwaka Wa 2027. Akizungumza Katika Kaunti Ya Kisii, Maraga Amesema Kuwa Azma Yake Haina Ushawishi Wowote Ya Serikali Na Kuwa Azma Yake Ni Ya Kushinikiza Vijana Kutetea Haki Zao.