DCI yawasaka wabunge wawili wanaodaiwa kufadhili maandamano ya Gen-Z

  • | KBC Video
    132 views

    Maafisa wa idara ya upelelezi wa jinai wanamsaka mbunge wa Embakasi ya kati Benjamin Gathiru al maarufu Mejja Dong na mwenzake wa Embakasi kaskazini James Gakuya, ambao wadaiwa kupanga maandamano ya vijana ambayo yaliishia na uvamizi wa bunge la kitaifa. Hii ni baada ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma Renson Ingonga kuidhinisha mashtaka dhidi ya wabunge hao pamoja na aliyekuwa mbunge wa Embakasi Magharibi George Theuri, aliyekuwa mbunge wa Nyeri Mjini Ngunjiri Wambugu na katibu wa binafsi wa naibu rais Pius Munene. Na jinsi Abdiaziz Hashim anavyotuarifu, mahakama tayari imetoa maagizo ya kuzuia kwa muda kukamatwa, kuzuiliwa au kushtakiwa kwa Theuri, Ngunjiri na Munene.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive