Deni la SHA huenda likalemaza huduma za afya Kilifi

  • | NTV Video
    157 views

    Gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Mung’aro sasa anaonekana kulemazwa na uzani wa deni la bima ya SHA, deni ambalo huenda likalemaza utendakazi wa huduma za hospitalini endapo bima hiyo itachelewa.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya