Dereva aokolewa kutoka katika gari linalowaka moto

  • | BBC Swahili
    1,312 views
    Kamera ya mbele ya gari ilinasa tukio hili la madereva hawa wa Minnesota waliposimama katikati ya barabara kuu ili kumwokoa mwanamume aliyenasa ndani ya gari lililokuwa likiungua. Video hii inaonesha watu wakijaribu kufungua milango ya gari kabla ya mtu kuvunja dirisha la dereva ili kumtoa mtu huyo. Dereva huyo alipelekwa katika hospitali ya karibu lakini hakupata majeraha yoyote mabaya. Tazama #bbcswahili #marekani #usalamabarabrani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw