Madereva waombwa kuwa waangalifu msimu wa mvua

  • | K24 Video
    80 views

    Madereva wamehimizwa kuwa makini barabarani msimu huu wa mvua baada ya ongezeko la ajali kwenye barabara kuu ya Nairobi–Nakuru. Himizo hili linakuja baada ya watu saba kufariki leo kwenye ajali eneo la Limuru, mita chache kutoka ajali ya jana iliyoua watu watano.