Dhuluma kwa watoto kwa kuwalazimisha washiriki ngono

  • | Citizen TV
    862 views

    Maafisa wa polisi katika kituo cha king’eero kaunti ya Kiambu wanamzuilia mwanamke mmoja kwa madai ya kuwadhulumu na kuwadhalilisha watoto kwa kuwalazimisha washiriki ngono. Inadaiwa mwanamke huyo alikuwa na makazi ya watoto wakati wazazi wanapowaacha kwenda kazini, ila alitumia fursa hiyo kuwarekodi watoto hawa kwenye kanda za ngono.