Diana Cherotich ajifungua kwenye uwanja wa Gofu, apatana na daktari wa watoto kwa bahati

  • | NTV Video
    428 views

    Tafakari haya, kuna uwezekano upi wa mama mjamzito aliyejifungua nje ya hospitali kukutana na daktari atakaye msaidia? Hili ndilo tukio lililompata Diana Cherotich alipojifungua kwenye uwanja wa Gofu wa Nakuru na alipatana na daktari wa upasuaji wa watoto Faith Bob alipomhitaji zaidi papo hapo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya