- 104 viewsDuration: 3:38Dini ya Roho Mafuta Pole ya Afrika ilijipatia sifa kubwa miaka ya 1940, lakini mwanga huo ulizimwa na serikali ya mkoloni baada ya kupigwa marufuku kutokana na mauaji ya halaiki ya Kolowa, Baringo, matukio yaliyotokea wakati wa harakati za kupigania uhuru wa Taifa hili. Miaka 13 sasa tangu kuruhusiwa tena kuabudu, waumini wanasema hatua hiyo imesaidia kukuza maadili na kuondoa mila potovu katika jamii