Doreen Odemba: Binti anayeishi na VVU kwa mwaka wa 30 sasa.

  • | BBC Swahili
    987 views
    Baada ya kujua kuhusu hali yake alikumbana na mikasa mbalimbali ikiwemo kupelekwa kwenye maombi akiaminishwa kuwa angepona maambukizi ya virusi vya Ukimwi. Je Doreen alifahamu vipi kuhusu hali yake? safari yake ilikuwaje? Hapa anazungumza na @martha_saranga katika waridi wa BBC #bbcswahili #waridiwabbc #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw