Duale amsuta Uhuru kwa kuchochea vijana

  • | KBC Video
    233 views

    Waziri wa mazingira, mabadiliko ya tabia nchi na uhifadhi wa misitu Aden Duale amewashutumu viongozi wa kisiasa anaodai wanawachochea vijana dhidi ya serikali. Duale amesema Rais William Ruto hachelei kukosolewa lakini viongozi wanafaa kuzingatia uwajibikaji katika kaulizao. Akirejelea kauli ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta mnamo Ijumaa, akiwaamba vijana nchini kutetea haki zao za demokrasia, Duale amesema kauli kama hizo zinaweza kukoka moto wa chuki nchini. Duale alizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa chama cha waliokuwa wanafunzi wa shule ya upili ya wavulana wa Garissa hapa jijini Nairobi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive