Duale : Serikali kulipa ada za SHA kufikia tarehe 14 kila mwezi

  • | KBC Video
    879 views

    Vituo vya afya vilivyo kwenye mkataba na halmashauri ya afya ya jamii SHA vitakuwa vikipokea malipo yao kuanzia tarehe 14 ya kila mwezi kwa mujibu wa waziri wa afya Aden Duale. Akizungumza baada ya kukabidhiwa jukumu hilo rasmi katika jumba la afya, Duale alielezea mikakati iliyopo ya kustawisha mifumo ya afya humu nchini, akiyapa kipaumbele masuala ya uwajibikaji wa kifedha, kuboresha utoaji huduma pamoja na kuimarisha huduma kwa wagonjwa. Duale aliahidi kuwachukulia hatua laghai wanaopotosha mifumo ili kulitapeli taifa raslimali zake za afya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News