Duale : Wahudumu wa UHC kusajiliwa

  • | KBC Video
    302 views

    Serikali za kaunti zitawahesabu wahudumu wote chini ya mpango wa huduma za afya kwa wote ili kuimarisha uwajibikaji huku serikali ya kitaifa ikichukua hatua kutimiza shinikizo za kuwaajiri wahudumu wa mpango huo kwa masharti ya kudumu. Hii ni mojawapo wa maamuzi yaliyoafikiwa wakati wa mkutano wa mashauriano baina aya magavana wa kaunti na wizara ya afya. Serikali ya kitaifa inatarajiwa kutoa pesa kwa magatuzi kuambatana nagredi ya mshahara iliyoidhinishwa na tume ya mishahara na marupurupu mengine

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive