Dully Sykes: Anastahili kuitwa mwanzilishi wa Bongo Fleva?

  • | BBC Swahili
    474 views
    Abdul Sykes @princedullysykes ni mwanamuziki kutoka nchini Tanzania ambaye amewahi kutamba na nyimbo kama Hi, Salome, Bombardier na sasa anatamba na wimbo wa zali ambao amemshirikisha Alikiba. @princedullysykes anatajwa kuwa ni mwanzilishi muziki wa kizazi kipya Tanzania maarufu kama Bongo Flava wakati huo ilihali kulikuwa na wanamuziki wengine. Je hii inatokana na nini? @princedullysykes atakuwa mubashara akizungumza na @loko_omi katika nyota wa Afrika Mashariki kuanzia majira ya saa nane mchana kupitia ukurasa wa Youtube na Facebook wa BBCSwahili. #bbcswahili #tanzania #nyotawafrikamashariki #bongofleva Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw