Dunia Wiki Hii: Mark Carney aapishwa kuwa waziri mkuu wa Canada, ateua baraza lake jipya la mawaziri

  • | KBC Video
    58 views

    Mark Carney aapishwa kuwa waziri mkuu wa Canada na akateua baraza lake jipya la mawaziri. Trump asema aliagiza operesheni kubwa ya kijeshi dhidi ya kundi la Houthi nchini Yemen huku raia wa Yemen wakiandaa mkutano mkubwa kulalamikia mashambulizi hayo ya angani ya marekani. Baraza la usalama la umoja wa mataifa laongeza muda wa kuhudumu kwa ujumbe wake nchini Afghanistan

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News