EACC imewakamata maafisa wanne Taita Taveta

  • | Citizen TV
    1,204 views

    Maafisa wanne wakuu wa kaunti ya Taita Taveta wamekamatwa na makachero wa tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC kuhusiana na ufujaji wa shilingi milioni saba zilizotumiwa wakati wa sherehe za kumbukumbu za vita vya kwanza vya dunia .