EACC inawataka wakaazi kushirikiana zaidi ya tume

  • | Citizen TV
    128 views

    Tume ya kupambana na ufisadi nchini EACC imetoa wito wa ushirikiano kati ya tume hiyo na wanainchi ili kukabili visa vya ufisadi humu nchini