EACC yaelekea kortini Bungoma kupinga uuzaji wa mali hiyo

  • | Citizen TV
    193 views

    Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imewasilisha kesi katika Mahakama Kuu mjini Bungoma ikitaka kuzuia kupigwa mnada kwa mali ya umma inayomilikiwa na Taasisi ya Mafunzo ya Ufundi ya Matili katika Kaunti ya Bungoma