EACC yawachunguza maafisa wawili wa KERRA wanaodaiwa kufaidika na kandarasi za ujenzi wa barabara

  • | KBC Video
    51 views

    Tume ya maadili na kupambana na Ufisadi-EACC imefanya msako katika makazi ya maafisa wawili wakuu wa halmashauri ya usimamizi wa barabara za mashinani-KeRRA ambao ni miongoni wa maafisa wa halmashauri hiyo wanaotafutwa kutokana na sakata za ujenzi wa barabara za KeRRA zinazohusisha mamilioni ya pesa. Mhasibu wa eneo wa KeRRA katika kaunti ya Lamu Joel Mutambu Kilonzi na mkurugenzi wa eneo wa KeRRA Kaunti ya Kirinyaga mhandisi Joseph Murage Kimata wanadaiwa kufaidika na shilingi milioni 15 kutoka kampuni ambazo walizipa kandarasi za ujenzi na ukarabati wa barabara kupitia ofisi zao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive