Elimu bora yataka ufafanuzi kuhusu uamuzi wa kesi kuhusu ufadhili wa wanafunzi vyuoni

  • | Citizen TV
    148 views

    Shirika la Elimu Bora zinazidi kupinga mfumo wa ufadhili wa wanafunzi wa vyuo vikuu huku wakitaka mahakama kufafanua zaidi uamuzi wake wa wiki iliyopita. wadau wa elimu wanasema kuwa mahakama ya rufaahaikutupilia mbali uamuzi wa jaji Chacha Mwituliotaja uamuzi huo kama kinyume na katiba ila ilitoa mwongozo kuhusu utekelezaji wa mfumo wa ufadhili.