Elimu ya umma sekondari msingi imeendelea kujikokota

  • | Citizen TV
    832 views

    Asilimia 96 ya wanafunzi wa sekondari ya msingi wameripoti shule kwa masomo yao, japo bado masomo yametatizika katika shule nyingi za umma nchini. Uhaba wa pesa na hata ukosefu wa walimu na vitabu umelazimu baadhi ya shule kukosa kuendeleza masomo