Eneo la kuhifadhi taka yazinduliwa Chakaleri, Mwatate

  • | Citizen TV
    195 views

    Serikali ya kaunti ya Taita Taveta kwa ushirikiano na umoja wa ulaya EU imezindua jengo la kuhifadhi taka katika eneo la Chakaleri eneo bunge la Mwatate kama njia mojawapo ya kupunguza uchafuzi wa mazingira katika miji ya mwatate na Voi