Eunita Kibor anadai watoto 29 wa marehemu Jackson Kibor wanataka kumfukuza

  • | NTV Video
    976 views

    Eunita Kibor mjane mdogo zaidi wa marehemu Jackson Kibor aliyepata sifa nyingi kwa kluwa na wanawake wengi anadai kuwa baadhi ya watoto 29 wa marehemu mumewe wanataka kumfukuza wakidai kuwa yeye ni maskini sana na hakuwa ameolewa na baba yao.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya