- 283 viewsTuelekee kwenye taarifa nyingine kuhusu hesabu ya kura kitaifa haiamui mgombea gani anashinda kuingia White House. Electoral College yaani kura za wajumbe ndiyo zenye kauli ya mwisho. Lakini utaratibu huu unafanya kazi vipi? VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Fahamu jinsi Utaratibu wa kuhesabu kura Marekani unavyofanyika | VOA Swahili
- - Duniani Leo ››
- - Duniani Leo ››
- 3 Jan 2025 - South Korea's presidential guards and military troops prevented authorities from arresting impeached President Yoon Suk Yeol on Friday in a tense six hour stand-off inside Yoon's compound in the heart of Seoul.
- 3 Jan 2025 - Drama was on Thursday witnessed in Tinderet, Nandi County, when thousands of angry residents stormed the Chemase Police Post, freed a murder suspect before stoning him to death and subsequently burning his body.
- 3 Jan 2025 - Elon Musk on Thursday called for the release from prison of Tommy Robinson, one of Britain's best known far-right agitators, in the US tech billionaire's latest UK intervention.
- 3 Jan 2025 - Detectives from the Directorate of Criminal Investigations (DCI) Kilimani have apprehended Meshack Kipleting Tarbei, a suspected serial fraudster and Director of Motorshop E.A Ltd.
- 3 Jan 2025 - The U.S. dollar hit a two-year high on Thursday in the first day of 2025 trading, building on last year's strong gains on expectations U.S. growth will beat peers and keep U.S. interest rates relatively elevated.
- 3 Jan 2025 - The Kenyan entertainment scene is grappling with yet another case of a high-profile performance gone awry, this time involving renowned Tanzanian gospel artist Joel Lwaga. The artist and his team w…
- 3 Jan 2025 - President William Ruto and his Ugandan counterpart Yoweri Museveni have united in rallying support for former Prime Minister Raila Odinga, declaring him a strong candidate for the African Union Commission (AUC) chairmanship. Museveni emphasized Raila’s…
- 3 Jan 2025 - Ruto directed all government services and payments be channelled through the platform.
- 3 Jan 2025 - South Korean authorities fail to arrest impeached President over his martial law declaration.
- 3 Jan 2025 - The mystery of Deputy President Kithure Kindiki whereabouts has deepened following a flurry of New Year messages unleashed hours after the world ushered in 2025.