Fahamu umuhimu wa kufunga mwezi Mtukufu wa Eamadhani

  • | BBC Swahili
    427 views
    Siku thelathini za ibada na kutafuta msamaha zimeanza huku mamilioni ya Waislamu kote duniani wakitekeleza ibada ya mfungo wa Ramadhani. Lakini nini umuhimu wa ibada hii? @roncliffeodit atakuwa na maelezo zaidi katika Dira ya Dunia TV kwenye ukurasa wetu wa YouTube BBCSwahili. #bbcswahili #uislamu #ramadhani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw