Skip to main content
Skip to main content

Faith Odhiambo ajiondoa kama naibu mwenyekiti wa fidia wa waathiriwa maandamano

  • | KTN News
    1,049 views
    Duration: 2:35
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Rais wa Chama cha Mawakili nchini, Faith Odhiambo, amejiuzulu kama naibu mwenyekiti wa jopokazi la kushughulikia fidia ya waathiriwa wa maandamano wiki chache tu baada ya kuteuliwa na Rais William Ruto. Hatua hii imejiri kufuatia wito wa baadhi ya Wakenya wakumtakia ajiondoe kwenye wadhifa huo. Na kama anavyoarifu Winfrey Owino, Odhiambo amesema kwamba huenda jopokazi hilo likakosa kutimiza malengo kutokana na kusitishwa kwa shughuli zake na mahakama. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews