Familia 3,000 zinazofaidika na utalii Narok zapinga ujenzi katika maeneo ambapo wanyamapori huzalia

  • | Citizen TV
    292 views

    Familia 3,000 zinazofaidika na utalii katika hifadhi ya wayamapori ya Lemek, Narok Magharibi ,zimepinga vikali ujenzi unaofanyw ana bwanyenye mmoja katika mojawapo ya maeneo ambapo Wanyamapori huzalia.