Familia imeachwa katika hali tharuki baada ya mwili wa mwanao kuzuiliwa katika hifadhi ya maiti

  • | NTV Video
    715 views

    Familia moja ya katika kijiji cha Takaungu Kata ya Mnarani kaunti ya Kilifi imeachwa katika hali tharuki baada ya mwili wa mtoto wao aliyefariki katika hali ya kutatanisha kuzuiliwa katika hifadhi ya maiti ya hospitali ya rufaa ya kaunti hiyo kutokana na vuta ni kuvute za kidini.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya