Familia inadai haki

  • | Citizen TV
    1,759 views

    Familia moja mtaani Mbombolulu kaunti ya Mombasa inalilia haki baada ya jamaa yao kujeruhiwa akiwa kazini. Antony Juma alivamiwa na nyuki na kuanguka alipopewa kibarua cha kukata mti eneo la kizingo mwaka jana. Kwa zaidi ya miezi 6, Juma amekuwa akiuguza majeraha hospitalini na nyumbani. Familia ikidai kuwa mwajiri alimuacha baada ya kumpeleka hospitalini.