Familia inaomboleza kifo cha kijana wa miaka 20, Kilifi

  • | Citizen TV
    849 views

    Familia moja katika mtaa wa Mtepeni kaunti ya Kilifi inalilia haki baada ya jamaa yao kufariki kwa njia tata. Familia inadai maafisa wa polisi kutoka Mtwapa walivamia nyumbani usiku wa manane alhamisi iliyopita na kumpiga Lewis Munga hadi akafariki. Vijana wengine wanne wanauguza majeraha kwenye utata wa umiliki wa ardhi,