Familia, marafiki, na jamaa wamuomboleza Kanali James Gitahi

  • | Citizen TV
    675 views

    Familia, marafiki, na jamaa wa marehemu Kanali Mstaafu James Gitahi walikusanyika katika kanisa katoliki la St Catherine of Siena eneo la Kitisuru kutoa heshima zao na kumkumbuka rubani huyo mstaafu. Wakati wa misa ya wafu, sifa tele zilimiminika, wengi wakimkumbuka kama rubani mashuhuri na mtu mwadilifu , ambaye alijitolea kwa familia na pia taifa lake.