Skip to main content
Skip to main content

Familia moja eneo la Ugunja lapewa agizo la kuhama kwenye ardhi ambayo imekuwa nyumbani kwa miaka 68

  • | NTV Video
    124 views
    Duration: 2:46
    Familia moja katika eneo la Ugunja, kaunti ya Siaya, inaishi kwa hofu kuu baada ya kupewa agizo la mahakama kuwa wanastahili kuwaondoka kwenye ardhi ambayo imekuwa nyumbani kwa takribani miaka 68. Familia hiyo ya jamaa zaidi ya hamsini, inadai kuwa uamuzi huo umeenda kinyume na historia ya umiliki wa ardhi yao. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya