Familia moja huko Voi yapitia masaibu chungu nzima kutokana ugonjwa wa moyo wa jamaa yao

  • | Citizen TV
    295 views

    Familia moja katika mtaa wa Tanzania huko Voi kaunti ya Taita-Taveta inapitia masaibu chungu nzima kutokana ugonjwa wa moyo wa jamaa yao scholar Malemba. Kwa wiki ya tatu sasa, Scholar hajapata matibabu anayohitaji kutokana na hali ngumu ya kiuchumi wanayopitia.Keith simiyu na taarifa hiyo