Familia moja Kakamega yasherehekea maisha ya jamaa wao aliyetimiza miaka 100

  • | KBC Video
    192 views

    Huku wakenya wakijiunga na ulimwengu kusherehekea pasaka, familia ya Joseph Amakati ambaye alizaliwa mwaka 1925, walisherehekea siku yake ya kuzaliwa nyumbani kwake katika kijiji cha Matioli, eneo la Lurambi, sherehe iliyoleta pamoja vizazi vyake.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive