Familia moja katika mtaa wa bamburi inaomboleza

  • | Citizen TV
    759 views

    Familia moja katika mtaa wa Bamburi mjini Mombasa sasa unaitaka serikali kuwasaidia kurejesha nyumbani maiti ya jamaa yao aliyefariki nchini Saudi Arabia mwezi Julai. Jane Atieno Omondi mwenye miaka 48 aliyekuwa akifanya kazi nchini humo alifariki baada ya kuugua ila sasa familia imeshindwa kugharamia safari ya kuurejesha mwili wake nyumbani kwa mazishi.