Familia moja Meru yaomba msaada wa shilingi milioni-1.5 kwa mpendwa wao anayehitaji upasuaji

  • | KBC Video
    124 views

    Familia moja katika eneo la Gitimbene kaunti ya Meru imetoa wito wa usaidizi wa kimatibabu kwa mwanao wa umri wa miaka 18 Ronny Mugambi anayehitaji upasuaji wa kisugudi. Ronny aligunduliwa kuwa na ugonjwa wa Ewing Sarcoma, ambao ni aina ya saratani ya mifupa anahitaji shilingi milioni- 1.5 upasuaji huo nchini India.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive