Familia Moja Mogotio Kaunti Ya Baringo Yazamia Ufugaji Wa Mburukenge Na Kobe

  • | TV 47
    67 views

    Familia Moja Mogotio Kaunti Ya Baringo Yazamia Ufugaji Wa Mburukenge Na Kobe

    Jamii nyingi za wafugaji nchini hujulikana kwa ufugaji wa ng’ombe na mbuzi, wengine katika siku za hivi maajuzi wamegeukia ukulima ili kujikimu kimaisha.

    Aidha, familia moja kutoka eneo la Mogotia, kaunti ya Baringo, imekumbatia ufugaji wa burukenge na kobe.

    #TV47Wikendi #TV47WeekendEdition

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __