Familia moja Waitaluk imejitolea ardhi ekari mbili ya kujengwa chuo cha Anuwai

  • | West TV
    108 views
    Familia moja kutoka eneo la Waitaluk imetoa ardhi kwa umma ili kufanikisha ujenzi wa chuo anuwai katika eneo hilo. Hatu hii ya familia kutoa ardhi ya ekari mbili ni kwa minajili ya kuwafaa vijana wa eneo hilo kielimu