Familia Siaya inaomba msaada wa shilingi 8M ili kuwezesha jamaa wao kufanyiwa upandikizaji wa mapafu

  • | KBC Video
    40 views

    Familia moja katika kaunti ya Siaya inaomba msaada wa kifedha wa jumla ya shilingi milioni 8 ili kuwezesha jamaa wao kufanyiwa upandikizaji wa mapafu nchini India.Cynthia Akoth mwenye umri wa miaka 29 alipatikana na ugonjwa wa mapafu na shinikizo la damu ,madaktari wakipendekeza afanyiwe upandikizaji wa mapafu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive