Familia ya Benedict Kabiru, polisi aliyetoweka Haiti yadai kunyimwa taarifa kamili kuhusu hali yake

  • | Citizen TV
    2,770 views

    Familia Ya Benedict Kabiru, Afisa Wa Polisi Aliyetoweka Haiti Inalilia Serikali Kutoa Taarifa Ya Aliko Jamaa Yao, Siku Sita Baada Ya Kutoweka Walipovamiwa Na Magenge. Wakizungumza Wakati Wa Ibada Ya Maombi Nyumbani Kwao, Familia Inasema Imekosa Habari Za Kutosha Kutoka Kwa Serikali. Haya Yamejiri Huku Inspekta Jenerali Douglas Kanja Akishikilia Kabiru Bado Anatafutwa Na Taifa Litajuzwa Atakapopatikana.