Familia ya Jane Achieng yatafuta sehemu za mwili za binti aliyeuawa Mombasa

  • | Citizen TV
    4,913 views

    Familia Moja Eneo La Migadini Kaunti Ya Mombasa Inalilia Haki Ikitaka Polisi Kuwapa Majibu Kuhusiana Na Mabaki Ya Mwili Wa Jamaa Yao Aliyeuawa Na Kupatikana Kichwa Tu. Mwezi Mmoja Baada Ya Mabaki Ya Kichwa Cha Jane Achieng, Familia Imeshindwa Kufanya Mazishi Yake Kwani Vipande Vingine Vya Mwili Havijulikani Viliko. Familia Sasa Ikisema Imewachwa Njia Panda Bila Majibu Ya Uchunguzi. Francis Mtalaki Anaarifu Kutoka Mombasa.