Familia ya mwanamuziki kutoka Congo inalilia haki

  • | Citizen TV
    469 views

    Jamaa huyo aliuwawa na mwili kutupwa kando ya bahari

    Familia ya Ngoto Koyani inadai kuna njama fiche

    Ni wiki tatu tangu mwanamuziki huyo kuuwawa