Familia ya polisi aliyetoweka Haiti yadai kutengwa na serikali

  • | KBC Video
    36 views

    AFISA WA POLISI ALIYETOWEKA HAITI

    Familia ya afisa wa polisi kutoka humu nchini aliyetoweka aliyekuwa kwenye ujumbe wa kuhifadhi amani nchini Haiti sasa inaikosoa serikali kwa madai ya kuwatenga. Familia ya Benedict Kabiru inaelezea jinsi maisha yalivyobadilika tangu kutoweka kwa jamaa wao wakisema wamepoteza matumaini kwani maafisa husika wanaonekana kuwatenga na hivyo hawafahamu kinachoendelea.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive