Familia ya Seth Nyakio Njeri, msichana aliyeuawa Makongeni yataka DCI kuharakisha uchunguzi

  • | Citizen TV
    408 views

    Familia Ya Seth Nyakio Njeri, Msichana Wa Umri Wa Miaka 23 Aliyeuawa Eneo La Makongeni Huko Thika Kaunti Ya Kiambu Inahofia Haitapata Haki Kuhusiana Na Mauaji Ya Mwana Wao. Familia Hiyo Inasema Kuwa Miezi Mitano Tangu Msichana Huyo Kuuawa, Mshukiwa Hajakamatwa Licha Ya Kuwa Anajulikana. Na Kama Anavyoarifu Franklin Wallah, Familia Ya Seth Inairai Idara Ya Dci Kurejelea Uchunguzi Na Kuwahakikishia Haki.