Familia ya Valentine Lusasi Mulango inamtafuta tangu tarehe mbili Disemba 2024

  • | Citizen TV
    902 views

    Familia ya Valentine Lusasi Mulango kijana mwenye umri wa miaka ishirini na tatu sasa inaililia serikali kusaidia kumsaka mwanao baada ya kutoweka tarehe mbili disemba mwaka 2024. Aidha imebainika kuwa runinga pamoja sa taa katika chumba chake zilikuwa zingali zimewaka licha ya majirani kukiri kutomuona.