Familia ya waliouwawa kisii yaishi kwa uwoga

  • | Citizen TV
    369 views

    Jamaa za Familia ya watu watano waliouwawa kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya kijana mmoja huko Masimba, kaunti ya Kisii wanahofia maisha yao. Walionusurika kuuwawa wametafuta hifadhi katika kituo cha polisi cha Kisii wakihofia kuuwawa. Aidha wanamtaka mshukiwa mkuu aliyetoka Marekani kukamatwa kwa madai ya kupanga njama ya kuwaangamiza.