Familia ya wapiganiaji Uhuru wadai fidia kutoka serikali ya uingereza

  • | NTV Video
    111 views

    Familia za wapiganaji wa uhuru wa Kenya wamejitokeza kudai fidia kutoka kwa serikali, familia hizo za wapiganaji wa Mau Mau nchini zinaitaka serikali kuweka juhudi za kuhakikisha zinapata fidia kutoka taifa la uingereza ili ziweze kujikwamua kutokana na gharama ya juu ya maisha.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya