Familia ya watu 4 waliotoweka Tsavo wapatikana

  • | Citizen TV
    188 views

    Watu wanne wa familia moja walitoweka siku ya jumamosi katika mbuga ya wanyama ya tsavo east wamepatikana.